Tunashindwa kwa mengiHata hivo unashindwaje kwani?
Hahahahaaaaa, umetishaHata hivo unashindwaje kwani?
Yani wanawake huwa hawaamini na haiwaingii akilini kuwa wanaume hushindwa kuwapata/kukubaliwa pale wanapotaka mzigo.
Utasikia" unashindwaje,yani me ningekuwa mwanaume hakuna demu angekataa"
Kwa akili zako Tanzania inaweza kua ya viwanda? Kwa strategies zipi zilizowekwa? Nenda katafute mpango wa taifa wa miaka 10+ uone kama kuna sehemu wameongelea kuhusu nchi kua ya viwanda.Nchi inazidi kupiga hatua 100 nyuma kuelekea viwandani!