Ajabu na kweli, ndoa imevunjika, mama aolewa na Houseboy

Ajabu na kweli, ndoa imevunjika, mama aolewa na Houseboy

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2009
Posts
1,282
Reaction score
248
Kuna mama hapa mtaani baada ya kutalakiana na mumewe sasa anaishi na house boy wake maisha ya KINYUMBA.
Mama huyo sasa amesusiwa kutembelewa na wanawawe kwa aibu hiyo. Hoiuseboy mwenyewe is less than 20 years, yaani ni kichekesho mtaani, hasa wakiwa wanatembea jioni huku wakiwa wamekumbatiana kwa mapenzi na huba
 
Kama huyo house boy ndiye aliyesababisha mpaka ndoa ikavunjika unategemea mama aolewe na nani?
 
mapenzi si hayachagui umri? Kwani kuna mtu aliyeoa mwana,ke ambaye wanalingana umri?
 
mmmh! jaman ndo maisha yetu haya!! km mabint wadogo wadunda na wababa wazma, wa mama wazma watadunda na akna nan? acha tubadlshane!1 mawazo!!!
 
Sasa afanyeje na mumewe kamuacha, wanaume bwana, mnafikiri nyie tu ndio mnapenda dogodogo, mwacheni mama wa watu ajifaidie
 
Love's Blind mwacheni H. boy ale tunda kwa raha zake bila kusumbuliwa mahali wala harusi na kero zake.. safi sana I wish i could be the one.
 
hapa mimi suali langu ni_kwani huyo mama ana hela?

Hela ipo, kwenye mgawanyo wa mirathi kapata nyumba tatu, kati ya hizo moja gesti hausi. Pia ana daladala tatu na texi moja
 
Alaa mwacheni "nyokaa" ale bata jamani ...duu io hata mimi ingenidondokea aaa ni kubonyeza tu. maisha yenyewe yako wapi haya.
 
Back
Top Bottom