Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Bahari imetanda mashariki yote.
Miti imekaa, imekuwa mingi mpaka sasa vijana wa TFS wanatumia SMG kuua Watanzania wenzao wanaokata miti ya kujengwa vijumba vyao.
Madini yamejaa Shinyanga, Lindi, Ruvuma na mikoa mingine.
Maziwa yako mengi.
Mito yenye mabonde mazuri ya kilimo.
Hifadhi za wanyama .
Leo hii kiongozi bila aibu anazindua choo cha msaada na makofi anapigiwa.
Leo hii Waturuki wanatoa msaada wa visima kwenye nchi yenye rasilimali maji chini billions of cubic.
Nilidhani wananchi wangekuwa na options 2 either wawashitaki kwa kushindwa kutumia rasilimali kuleta maendeleo au kukaa kimya tu kwakuwa wamejitungia sheria za kutokushikiwa.
Cha ajabu wanasifiwa kwa vitu vidogovidogo walivyofanya.