Ajabu: Tangu 2014 Simba SC hawajawahi ifunga Yanga SC

ila kwanza nijue muktadha wa huu uzi kwa maana kila tukikumbushia 6-0 mnasema XXXXX YA KALE HAYANUKI.........Hapo sijarudi kwenye 5-0

Maajabu hapo ni kwamba YANGA tangu ianzishwe haijawahi kuifungu Simba KAPU kama hilo......na ndio asili ya wana Yanga wengi kuwa wavuvi na makapu yao na ukitaka kuthibitisha hilo bahatika kukatiza kwenye mkutano wao utakuta baiskeli nyingi na makapu nyuma wakijikumbusha KAPU LA MAGOLI
 
Majimaji kwa sasa sio timu ya kujinasibu ukiifunga..tena taifa. Inapigwa na kila timu...wengine hadi 6.

Sent from my VFD 300 using JamiiForums mobile app
 

Tukutane Oktoba mosi Mikia
 
Ukifurah sana ujue machozi yapo jirani..


Rangi nzuri haikawii kupauka.
 
Yanga siku hizi wamekua malaya sana ndo maanda hata simba hawamtaki tena huyu mwanamke akitekenywa kule anakuja kwa simba oooooh nataka tano sasa na sisi tumeghair kupiga vitano
 
Kumbe we ni mshabiki wa timy za bongo haswa upo yanga...!! Kwani we umeifunga hiyo simba mara ngapi toka 2014 kama sio mara moja tu na droo kibao...hufatilii mpira kumbe !! Napita tu ngoja niende nikalike picha za POGBA
 
simba bwana..hvi kuifunga yanga ndo mmebeba ndoo?,zaid ya miaka 3 hamna ubingwa wowote ule bado mnachonga aisee oneni aibu na mjitafakar sio kelele za kuifunga majimaji
 
simba bwana..hvi kuifunga yanga ndo mmebeba ndoo?,zaid ya miaka 3 hamna ubingwa wowote ule bado mnachonga aisee oneni aibu na mjitafakar sio kelele za kuifunga majimaji
Waulize majimaji
 
Iliwachukua yanga siku 900 na magoli zaidi ya 20 kuja kuifunga simba

Muache kauli za kimalaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…