Ajabu Tanzania hawajawasilisha patent hata moja, kazi yao ni kuonea wivu Wakenya na majirani

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kuna uzi nimeanzisha unaomhusu dogo aliyechomoa app inayotumia Bluetooth kuwezesha mawasiliano. Sio kwamba ndio ya kwanza duniani, ni taarifa za kawaida tu kama unavyoweza kusema madogo fulani wametengeneza gari wakiwa chuoni.

Sasa Watanzania wametiririka na kutokwa povu utafikiri wameguswa pabaya, hivi mbona mnaishi maisha magumu hivi ya minuno na machungu na majungu na chuki, sio ajabu kwamba Tanzania juzi imeorodheshwa ndani ya nchi kumi duniani ambazo wananchi wake hawana furaha kabisa.

Sielewi kwanini iwaume kihivyo kwamba mwanafunzi Mkenya kachomoa app, sasa nimeangalia kwenye takwimu za WIPO za patents zilizowasilishwa nchi kwa nchi, nimeshangaa sana kuona Tanzania haijawasilisha chochote, wakati Kenya imewasilisha mia kadhaa. Hata Rwanda wamejitutumua na kuwashinda kwenye kuwasilisha, nyie mumekaa uvivu, wivu na kulea majungu hadi namhurumia rais wenu sana maana sioni jinsi atafanikisha viwanda kwa watu wenyewe ambao wapo wapo tu, kila siku dezo dezo na midembwedo huku mkisubiri embe idondoke kutoka kwenye mwembe.

Hizi hapa rankings za patents baina ya nchi kwa nchi Countries ranked by Patent applications, residents
 
😀😀😀😀😀
monkey_see_do.gif

Maghu-FOOL-i on his desk looking for another Kenyan COUGH.. COUGH... COUGH.. I meant grand Tanzanian project to begin 😀😀😀😀
desk-gorilla.jpg
 
"Tanzania haijawasilisha chochote" ...
Hapo mkuu umedanganya, kaangalie vizuri...
 
nyie mumekaa uvivu, wivu na kulea majungu hadi namhurumia rais wenu sana maana sioni jinsi atafanikisha viwanda kwa watu wenyewe ambao wapo wapo tu, kila siku dezo dezo na midembwedo huku mkisubiri embe idondoke kutoka kwenye mwembe.

He he heeeeeeee! Sipati picha jinsi ulivyokuwa umekunja sura wakati unaandika haya! Nadhani uliyoandika hapo ndo rangi yako harisi
 
Kuna uzi nimeanzisha unaomhusu dogo aliyechomoa app inayotumia Bluetooth kuwezesha mawasiliano. Sio kwamba ndio ya kwanza duniani, ni taarifa za kawaida tu kama unavyoweza kusema madogo fulani wametengeneza gari wakiwa chuoni.

Sasa Watanzania wametiririka na kutokwa povu utafikiri wameguswa pabaya, hivi mbona mnaishi maisha magumu hivi ya minuno na machungu na majungu na chuki, sio ajabu kwamba Tanzania juzi imeorodheshwa ndani ya nchi kumi duniani ambazo wananchi wake hawana furaha kabisa.

Sielewi kwanini iwaume kihivyo kwamba mwanafunzi Mkenya kachomoa app, sasa nimeangalia kwenye takwimu za WIPO za patents zilizowasilishwa nchi kwa nchi, nimeshangaa sana kuona Tanzania haijawasilisha chochote, wakati Kenya imewasilisha mia kadhaa. Hata Rwanda wamejitutumua na kuwashinda kwenye kuwasilisha, nyie mumekaa uvivu, wivu na kulea majungu hadi namhurumia rais wenu sana maana sioni jinsi atafanikisha viwanda kwa watu wenyewe ambao wapo wapo tu, kila siku dezo dezo na midembwedo huku mkisubiri embe idondoke kutoka kwenye mwembe.

Hizi hapa rankings za patents baina ya nchi kwa nchi Countries ranked by Patent applications, residents
Wewe mtu waajabu sana. Sisi hatutangazi ndomaana.

Masters ya Magufuli tu. Ndo mtu wakwanza duniani kugundua kuwa mafuta ya mawese yanaweza kuendesha ndege. Huyo ni magufuli.

Ugunduzi wakufanya chuma(iro) kisivunjike(brittle) ulifanyika Moshi Tanzania kwa kutumia maji ya mgomba wa ndizi ambao huwa na content ya Nitrogen ndani yake. Nahiyo ni duniani. Kutokana nahiyo technology ndo iliwezesha matumizi ya vyuma kukua kwa kasi nakupatikana kwa tehnology inayojulikana kama ALLOY.
Alloy is a mixture of metals. Kama ulisoma science.

Mtanzania ni mtu wakwanza kufanya ugunduzi duniani kuwa mtu akifa nywele zake huendelea kuota.

Mtanzania ni mtu wakwanza kugundua vimbweta ambavyo hutumika kote duniani na vimeleta manufaa kwenye jamii.

The list is endless. Karibu UDSM

Ugunduzi unaoleta ni ugunduzi ambao umewahi kufanywa. We need something unique na isiwe copy and paste
 
Hehehe!! Hamnaa, mbona kawaida tu.
 
Mulisaa uko sahihi! Lakini kwa ulimwengu wa sasa sidhani kama ni busara kufanya finding halafu isitangazwe maana haitajulikana kwa jamii ya kimataifa. Naamini hili tunatakiwa kulirekebisha.

Pale nimeona tuna value 1.00 hizi zingekuwa published tungekuwa na values nyingi zaidi ya hapo.
 
a1eM4R8_700b.jpg
 
Kutoka kwenye mwembe au mnazi? Kama ni kwa mujibu wa Darassa, mwanamuziki, ni mnazi.

Hehehe! Usubiri embe chini ya mnazi, wapi na wapi, haviendani....vipi bana....
Labda nazi chini ya mnazi, na embe chini ya mwembe.

VIpi huyo Darassa mbona alizima, ilikua one hit wonders...
 
Huo ni msemo mkuu kusubiri embe chini ya mnazi maana yake utasubiri sana au kwa maana nyingine mafanikio bila kujituma ni haiwezekani
 
Hahaha MK254 Usijisumbue na hao jamaa. Yaani kuna wivu na inferiority complex ambayo sijawahi kuelewa. Lakini niligundua kuwa ni hasa wale ammba huja humu Kenyan forums.
 
Mkuu watu wametofautiana pia inategemea na mtu na mtu hasa inapoandikwa kitu ambacho hata kama kilikuwa nje ya uwezo wake lakini kwa kuwa kimeandikwa kwa lugha ambayo ameitafsiri sio nzuri atajibu mashambulizi hata kama kinachozungumziwa hakijui, ila kuna mwingine atanyamaza. Mfano hiyo heading "Ajabu Tanzania hawajawasilisha patent hata moja, kazi yao ni kuonea wivu Wakenya na majirani" ...hiyo sentence ipo vizuri tu maana ina lengo la kufanya Watz wajiulize kulikoni lakini kwa kuweka tu hayo maneno niliyoya-bold tayari inaleta ukakasi na kuanza kulumbana though kuna ambao wataiangalia hiyo statement kwa jicho lingine kwanini hatujashiriki huku wengine wao ni kujibu kwa lugha zisizofaa
 
Mulisaa uko sahihi! Lakini kwa ulimwengu wa sasa sidhani kama ni busara kufanya finding halafu isitangazwe maana haitajulikana kwa jamii ya kimataifa. Naamini hili tunatakiwa kulirekebisha.

Pale nimeona tuna value 1.00 hizi zingekuwa published tungekuwa na values nyingi zaidi ya hapo.
Ugunduzi uliofanywa na watanzania upo mwingi sana. Pia kwenye nyaja ya IT tuko vizuri sana sema tu sisi hatuna muda wa kutanganza. Kuna hadi kijana wa 14 years hapa TZ aliweza kutengeneza software ya simu
Huwezi kutanganza kila kitu some research and findings are usually kept secrete for the purpose of the future use.

Kama hao wakenya na wanyarwanda wanatangaza bila hata kwanza kupata patent(hakimiliki) yahuo ugunduzu. Mtu yeyote anaweza kuuchukua nakuuweka katika matumizi na mgunduzi asipate chochote.

Facebook ilianzia chuoni na ilisababisha Schelberg afukuzwe chuo. Lakini USA chini yakitengo cha CIA waliweza kuchukua idea nakuifanya kuwa social media kubwa ya dunia. Lakini lengo la Facebook na Whatsapp CIA (usa) wanazitumia ku SPY watu. Ndo maana nchi kama China, USSR na Turkey na nchi nyingine hawaziruhusu kutumika. Lakini kwa kiwango kikubwa zimewasaidia wamarekani hasa CIA.
Leo hii ukienda America Embassy kuomba visa wanajua details zako kuliko unavyozania because of these social medias like FB and Whatsapp. They use them to spy. Hata Scherlberg amewaikukili kuwa idea yake iko funded na CIA

My take nikwamba ugunduzu kama huu inabidi usitanganzwe lakini waupelekee serikali au makampuni ya simu waone watauwekaje kwenye matumizi naje utaisaidïa vipi nchi.
Kwamfano aliyegundua M-Pesa hakuanza nakutanganza alienda direct kwa makampuni yanao weza kutumia hiyo idea.
 
Wewe mtu waajabu sana. Sisi hatutangazi ndomaana.

Masters ya Magufuli tu. Ndo mtu wakwanza duniani kugundua kuwa mafuta ya mawese yanaweza kuendesha ndege. Huyo ni magufuli.

Ugunduzi wakufanya chuma(iro) kisivunjike(brittle) ulifanyika Moshi Tanzania kwa kutumia maji ya mgomba wa ndizi ambao huwa na content ya Nitrogen ndani yake. Nahiyo ni duniani. Kutokana nahiyo technology ndo iliwezesha matumizi ya vyuma kukua kwa kasi nakupatikana kwa tehnology inayojulikana kama ALLOY.
Alloy is a mixture of metals. Kama ulisoma science.

Mtanzania ni mtu wakwanza kufanya ugunduzi duniani kuwa mtu akifa nywele zake huendelea kuota.

Mtanzania ni mtu wakwanza kugundua vimbweta ambavyo hutumika kote duniani na vimeleta manufaa kwenye jamii.

The list is endless. Karibu UDSM

Ugunduzi unaoleta ni ugunduzi ambao umewahi kufanywa. We need something unique na isiwe copy and paste
Wewe wacha kuota asubuhi. Hizo research zote ni uongo. Wapi research paper alizoandika magufuli, niende nikasome. Mimi napenda kusoma research zilizoandikwa kwenye research journals tofauti tofauti. Nipe date, title ya research yake na jina ya research journal yenyewe. La si hivyo nyamaza kabisa kwa sababu hujui unachokisema weye.
 
Umesha sema niuwongo so go and rest in peace. Nani alikwambia kilakitu kinaandikwa kwenye magazeti? Stupid Kenyan. Go back to school
 
Hahaha unadhani research journal ni gazeti? Wewe ndio utarudi shule. Chezea Mkenya weye
 
Back
Top Bottom