Tetesi: AJALI: Basi la Al Saedy limetumbukia mlima Ndololo Mahenge

Tetesi: AJALI: Basi la Al Saedy limetumbukia mlima Ndololo Mahenge

... limetumbukia mlima ndololo...
 
Kwan jinsi navyoujua huo mlima Kuna mtu amepona kweli?
 
eeh sjui kama atapona mtu maana ule mlima duuh
mi first tym nlipandisha nmefunga macho second time nlipandisha kwa mguu
 
Hatari sana,taarifa hizi ziwafikie walioko karibu na eneo husika kwa msaada wa haraka
Mungu awanusuru
 
basi la kampuni ya al saedy inasemekana limetumbukia mlima ndololo likitokea mahenge leo
Tulia uteletee taarifa kamili mkuu.Hilo eneo ni baya sana,kama ni kweli watu kupona itakuwa muujiza.Nilishapita huko mara mbili au tatu hivi,mm,panaogopesha sana.
 
hapo habari haieleweke ebu tulia basi lilitoka wap linaenda wapi na huo mlima upo sehemu gani hapa tz na taarifa imedhibitishwa na nani au bado ni tetesi tu na picha au tz ya gari
 
Naomba mungu hii habari isiwe kweli
 
Asante kwa taarifa mkuu, MUNGU aepushe vifo
 
😀😀 kuna muda unaweza jutia kwanini umeleta taarifa JF, unaweza tamani kufuta thread ila haiwezekani
 
Back
Top Bottom