Ajali kama hii ingelitokea Barani Afrika au Asia watu wengi wangelikufa, kwakuwa imetokea Ulaya wamepona

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Hapa ingekuwa Afrika au Asia watu wengi wangekufa.

One of the things I admire Western nations ni kuwa wanajiandaa na balaa kabla halijatokea.

Sisi huwa tunamwachia Mungu na kuomba sana dua!

1e66333a-67a7-4a12-9fdc-239aeed6301d.jpg

Kama serikali imeshindwa kusolve tatizo la maji unafikiri hali ipoje kwenye uokozi? Kama nchi lazima tuanze na changamoto ndogo then kubwa zitafuata. Only kama kungekuwa na serikali inayojitambua na wananchi wengi wenye akili. Kuwekeza kwenye science na technology kama wenzetu kenya. Badala ya kumwaga mamilioni kwenye michezo isiyo na maana wala faida kwa wananchi kiujumla.

Nchi imejaa wapumbavu with short vision.
 
Wenzetu wapo vizuri sana kwenye Emergency Preparedness & Response Plan (EPRP).
Viongozi wetu hawawajali Raia wao. Viongozi hungojea ajali itokee waweke Makamati wa ya uchunguzi na kujuwa hiyo ajali lakini hawako teyari kuweka kinga kabla ya ajali kutokea Viongozi wetu sio viongozi wazuri.
 
Kama serikali imeshindwa kusolve tatizo la maji unafikiri hali ipoje kwenye uokozi? Kama nchi lazima tuanze na changamoto ndogo then kubwa zitafuata. Only kama kungekuwa na serikali inayojitambua na wananchi wengi wenye akili. Kuwekeza kwenye science na technology kama wenzetu kenya. Badala ya kumwaga mamilioni kwenye michezo isiyo na maana wala faida kwa wananchi kiujumla.

Nchi imejaa wapumbavu with short vision.
🤣🤣🤣🤣
 
Kenya wana nini?
Michezo ni ajira kama ajira zingine wala haizuii hayo mambo mengine kufanyika
 
Maboya yenyewe hayatoshi...sema Vivuko kama Azam kila kiti kina boya lake...ila mitumbwi sijui meli kama mv nini ilozama maboya hayakua yanatosha na kwa sbb wanajaza kuliko uwezo wa chombo chenyewe
 
Back
Top Bottom