Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
SISI EMU OYEEEEE KIDUMU CHAMA CHA SISI-EMU...............................Hahahahhaah viongozi wa CCM wangetoa matamko na kuweka mikakati hewa
Wenzetu wapo vizuri sana kwenye Emergency Preparedness & Response Plan (EPRP).Hapa ingekuwa Afrika au Asia watu wengi wangekufa.
One of the things I admire Western nations ni kuwa wanajiandaa na balaa kabla halijatokea.
Sisi huwa tunamwachia Mungu na kuomba sana dua!
si ukahamie huko we kenge, mtu gani asiyejipenda na kujiamini.Hapa ingekuwa Afrika au Asia watu wengi wangekufa.
One of the things I admire Western nations ni kuwa wanajiandaa na balaa kabla halijatokea.
Sisi huwa tunamwachia Mungu na kuomba sana dua!
Wanasubiri tu kwenda kutoa Rambi rambi na mazishi kwa bajeti kubwa sanaHahahahhaah viongozi wa CCM wangetoa matamko na kuweka mikakati hewa
CHADOMO wangefanyeje?Hahahahhaah viongozi wa CCM wangetoa matamko na kuweka mikakati hewa
Asia ipi unaisemea? Sema Afrika tena sub SaharaHapa ingekuwa Afrika au Asia watu wengi wangekufa.
One of the things I admire Western nations ni kuwa wanajiandaa na balaa kabla halijatokea.
Sisi huwa tunamwachia Mungu na kuomba sana dua!
Jibu ni hili...Hapa ingekuwa Afrika au Asia watu wengi wangekufa.
One of the things I admire Western nations ni kuwa wanajiandaa na balaa kabla halijatokea.
Sisi huwa tunamwachia Mungu na kuomba sana dua!
Viongozi wetu hawawajali Raia wao. Viongozi hungojea ajali itokee waweke Makamati wa ya uchunguzi na kujuwa hiyo ajali lakini hawako teyari kuweka kinga kabla ya ajali kutokea Viongozi wetu sio viongozi wazuri.Wenzetu wapo vizuri sana kwenye Emergency Preparedness & Response Plan (EPRP).
🤣🤣🤣🤣Kama serikali imeshindwa kusolve tatizo la maji unafikiri hali ipoje kwenye uokozi? Kama nchi lazima tuanze na changamoto ndogo then kubwa zitafuata. Only kama kungekuwa na serikali inayojitambua na wananchi wengi wenye akili. Kuwekeza kwenye science na technology kama wenzetu kenya. Badala ya kumwaga mamilioni kwenye michezo isiyo na maana wala faida kwa wananchi kiujumla.
Nchi imejaa wapumbavu with short vision.
Kenya wana nini?Kama serikali imeshindwa kusolve tatizo la maji unafikiri hali ipoje kwenye uokozi? Kama nchi lazima tuanze na changamoto ndogo then kubwa zitafuata. Only kama kungekuwa na serikali inayojitambua na wananchi wengi wenye akili. Kuwekeza kwenye science na technology kama wenzetu kenya. Badala ya kumwaga mamilioni kwenye michezo isiyo na maana wala faida kwa wananchi kiujumla.
Nchi imejaa wapumbavu with short vision.