Tetesi: Ajali kisima cha bibi, mlima wa kupandisha Iringa mjini.

Maboso

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
5,164
Reaction score
5,762
Wanajukwaa, kuna habari ambazo bado sijapata uthibitisho wake kwamba kuna ajali mbaya imetokea mteremko wa mlima wa Iringa mjini kwenda Ipogolo. Inasemekana basi la kutoka Mwanza, Lupondije Bus lilikuwa linakwenda kushusha abiria Ipogolo stand baada ya kuwashusha abiria wa stendi kuu mjini Iringa likapata ajali usiku huu maeneo ya kisima cha bibi. Nimepata uthibitisho wa kifo cha mtu mmoja kutoka kwa ndugu yangu ila inasemekana waliofariki ni wengi na pia kuna majeruhi wengi. Kama ilivyo ada, JF ni sehemu yenye mjumuiko wa watu kutoka sehemu mbalimbali, naomba waliopo eneo hilo watujunze zaidi.

Updates:






 
Nashukuru Mungu ndugu yangu alikuwepo humo. Amenusurika kifo.
 
Lupondije? Long time hilo basi. Poleni majeruhi
 
Luondije bado yapo...si ajabu nilasikia na nzegenuka bado yapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…