Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna taarifa ya mlipuko wa Bomu Amsterdam wakati wa sherehe za Malikia wa Holland....Kuna mwenye taarifa kamili???
Siyo bomu Mkuu ni ajali ya gari.Masa kabandika habari hapo juu!
A photographer said the car appeared to be deliberately driving at high speed toward an open bus carrying Queen Beatrix
Hii mnaita ajali? Tunajua ajali ni nini lakini? Au ndiyo mentality ya "mapenzi ya mungu?
Si lazima kila incident ya gari kugonga mtu iwe ajali, this appears to be deliberate if the account above is credible.
Tupe jina mkuu. Kama ajali imesababishwa tuiiteje?