Niliandika siku si nyingi hapo nyuma ni kwa nini ujenzi wa barabara hauanzi na maeneo hatarishi yanayoua wananchi kama Simike, Mlima Iwambi na Mlima Nyoka?
Badala yake wajenzi wapo busy na maeneo tambarale kabisa ambayo sio hatarishi kama Ifisi na Iwambi Tazara?
Hivi serikali haijui maeneo yanayoua wanambeya na kuyawekea kipaumbele?
Hili linaudhi sana kuona viongozi wetu hawaoni vipaumbele dhahiri kama hivi na kuacha watu kuangamia.
Kila mwaka kama si kila mwezi kuna matukio ya ajali katika maeneo haya.
Kipindi Amosi Makala akiwa Mkuu wa mkoa alituwekea matrafick pale iwambi kuzuia magari ili yawe yanapita kwa zamu kuepusha ajali wakati alternative road kutoka Iyunga hadi Mbalizi inajengwa ili magari madogo yawe na njia yake. Matokeo yake sasa hivi matrafik wapo pale permanently na ujenzi wa ile alternative road ukasitishwa.
Leo ujenzi wa barabara umeanza, kwa akili ya kawaida kabisa ilipaswa kuanza na maeneo yanayoua wananchi kabla ya maeneo yasiyo hatarishi lakini wanafanya tofauti na matarajio ya wananchi.
Pia soma Simike, Mbeya: Ajali ya Lori na Coaster yasababisha vifo zaidi ya Watu 13 na kujeruhi wengine 18