Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Jaman kuna ajali hapa Mliman City lorry la Mafuta limewabana watu kweny mtaro ina sikitisha sana. Daaaah Mungu awaepusha na kifo. Watu kama kawaida wamejana, wanataka kuiba mafuta. Polisi wanafanya kazi ya ziada kuwafukuza hawatoki.
Barabara zote zimefanywa masoko ! Mungu anatusitiri sana ! Na roho zao zipumzike kwa amani !! Mamlaka husika siku hizi zinafanya nini !?
Very simple. Machinga wasisumbuliwe kwani wana vitambulisho na wamelipa kodi.Barabara zote zimefanywa masoko ! Mungu anatusitiri sana ! Na roho zao zipumzike kwa amani !! Mamlaka husika siku hizi zinafanya nini !?
Hivi kwanini tunaruhusu watu wafanye biashara hata kwenye maeneo ambayo ni wazi hakutakiwi liwe na biashara yoyote?Barabara zote zimefanywa masoko ! Mungu anatusitiri sana ! Na roho zao zipumzike kwa amani !! Mamlaka husika siku hizi zinafanya nini !?
Poleni mliofikwa na hayo, na pia ni muhimu tena swala la biashara za barabarani kuwa reviewed, wachuuzi wadogo wadogo waone haya madhara liwe somo, mamlaka ziangalie namna sahihi ya kufanya waingize vipato vyao katika hali salama.
Ndugu Stroke, tatizo tunafanya siasa katika kila jambo na hii ndio sababu mambo yanakuwa hovyo hovyo. Leo serikali ikisema isafishe barabara na wauzaji wawe na maeneo rasmi ya kufanya biashara,upinzani watatumia huo mgogoro kama mtaji. Ndivyo hivyo pia serikali inawatumia kama mtaji. Binafsi siungi mkono kabisa huu utaratibu wa kila sehemu mjini kuwa soko. |
Hivi kwanini tunaruhusu watu wafanye biashara hata kwenye maeneo ambayo ni wazi hakutakiwi liwe na biashara yoyote?
Mtaji wa kisiasa. |
Ndugu Stroke, tatizo tunafanya siasa katika kila jambo na hii ndio sababu mambo yanakuwa hovyo hovyo.
Leo serikali ikisema isafishe barabara na wauzaji wawe na maeneo rasmi ya kufanya biashara,upinzani watatumia huo mgogoro kama mtaji. Ndivyo hivyo pia serikali inawatumia kama mtaji.
Binafsi siungi mkono kabisa huu utaratibu wa kila sehemu mjini kuwa soko.
Wafanyabiashara ndogo ndogo wamevamia sana barabara na ni hatari sana kwa maisha yao,mbona wakifanya sehemu za sokoni zilizotengwa watu wataenda tu bila wasiwasi? Siasa nyingine ni upuuzi.Poleni mliofikwa na hayo, na pia ni muhimu tena swala la biashara za barabarani kuwa reviewed, wachuuzi wadogo wadogo waone haya madhara liwe somo, mamlaka ziangalie namna sahihi ya kufanya waingize vipato vyao katika hali salama.