Tetesi: Ajali muda huu,basi la mwendo kasi na gari ndogo

Tetesi: Ajali muda huu,basi la mwendo kasi na gari ndogo

NI MTAZAMO TU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
1,203
Reaction score
999
Hebu mtujuze mliopo karibu na barabara ya mwendo kasi kinondoni,nasikia mabasi yakiendelea na kutestiwa,gari ndogo imegongwa katika eneo hilo, na kusababisha vifo. ..
Tafadhari mwenye taarifa kamili..
 
mkuu kwanini unaleta habari nusunusu fuatilia kwanza ulete habari kamili
 
Aisee,yasije kuwa ya Tundaman haya.
lakini yote kwa yote haya magari yameanza na kimavi.
Tatizo wenye magari binafsi bado njia zao hawajazisoma vizuri,sijui inakuwaje kuingia kwenye njia ya gari hizi maalum
Wabongo ni sheeda aisee
 
Wawapeleke hao madereva wao VETA kwanza,
hatutaki kufa kwa ajili ya magari yao tena nauli ziko juu.
 
Kuzinduliwa hizo njia lazima patambikiwe (damu )natania tu
 
Hebu mtujuze mliopo karibu na barabara ya mwendo kasi kinondoni,nasikia mabasi yakiendelea na kutestiwa,gari ndogo imegongwa katika eneo hilo, na kusababisha vifo. ..
Tafadhari mwenye taarifa kamili..
ulikuwa unawahi kuwa wa kwanza kuleta habari?, tulia uandike habari vizuri
 
Hakuna mkosi hapo mkuu, zaidi ni mazoea mabovu ya kupuuza na kutofuata sheria za barabara
Aisee madereva wengi nchi hii hatupendi kufuata sheria za barabarani! Mungu ajalie lakini mpaka haya mabasi yaanze kazi rasmi, tutashuhudia ajali nyingi tu!
 
Watu wanaende
Hizi gari mbona zimeanza kwa mkosi nini shida?
Watu wanaendeshea mazoea. Hizi barabara za mwendokasi hazitaki mazoea, inabidi uendeshe kwa kufuata alama zake maalum, ambazo haziko kwenye kwenye barabara hizi nyingine
 
Back
Top Bottom