NI MTAZAMO TU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,203
- 999
mkuu kwanini unaleta habari nusunusu fuatilia kwanza ulete habari kamili
ulikuwa unawahi kuwa wa kwanza kuleta habari?, tulia uandike habari vizuriHebu mtujuze mliopo karibu na barabara ya mwendo kasi kinondoni,nasikia mabasi yakiendelea na kutestiwa,gari ndogo imegongwa katika eneo hilo, na kusababisha vifo. ..
Tafadhari mwenye taarifa kamili..
Hakuna mkosi hapo mkuu, zaidi ni mazoea mabovu ya kupuuza na kutofuata sheria za barabaraHizi gari mbona zimeanza kwa mkosi nini shida?
Aisee madereva wengi nchi hii hatupendi kufuata sheria za barabarani! Mungu ajalie lakini mpaka haya mabasi yaanze kazi rasmi, tutashuhudia ajali nyingi tu!Hakuna mkosi hapo mkuu, zaidi ni mazoea mabovu ya kupuuza na kutofuata sheria za barabara
Watu wanaendeshea mazoea. Hizi barabara za mwendokasi hazitaki mazoea, inabidi uendeshe kwa kufuata alama zake maalum, ambazo haziko kwenye kwenye barabara hizi nyingineHizi gari mbona zimeanza kwa mkosi nini shida?