Mzee Mwanakijiji Platinum Member Joined Mar 10, 2006 Posts 33,771 Reaction score 41,027 Jul 21, 2010 #1 Sijui ajali nyingine tunaweza vipi kuzifafanua.. lakini kinachonishangaza ni hawa wanaojitokeza kuzishangaa hivi wanafanya kazi zozote au ndiyo kila mtu amejiajiri mwenyewe?
Sijui ajali nyingine tunaweza vipi kuzifafanua.. lakini kinachonishangaza ni hawa wanaojitokeza kuzishangaa hivi wanafanya kazi zozote au ndiyo kila mtu amejiajiri mwenyewe?
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 94,296 Reaction score 122,540 Jul 21, 2010 #2 Mbona naona gibberish tu...hakuna picha wala nini
Mzee Mwanakijiji Platinum Member Joined Mar 10, 2006 Posts 33,771 Reaction score 41,027 Jul 21, 2010 Thread starter #3 Ipo bwana.. angalia vizuri.
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 94,296 Reaction score 122,540 Jul 21, 2010 #4 Sasa imetokea
M mfwakwa Member Joined May 31, 2010 Posts 40 Reaction score 0 Jul 21, 2010 #5 Wengine vibaka! hawana msaada!