Ajali:-sina result slip hlf mwisho wa kuapply dit ni tar 20 june

Battery low

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
315
Reaction score
27
Wakuu nipo kwny hali mbaya mno yan ndo nakuja kujua juz mwisho wa kupeleka application form ni 20 june hlf shule walim hawapo(shule imefungwa) nimeongea na academic master kanizingua sasa cjui itakuaje.Lkn niliapply dit toka tupo shule na nimefaulu hv(phy-b+,math-b+,engl-b+) lkn ndo cna uhakika kama ntachaguliwa ndo mana nimeamua nianze kuapplyki-private ili nisipochaguliwa na serikali iwe tayar nishapeleka maombi. Sasa hamna alternative way ya kuapply bila ya r.slip maana mpaka niipate itakua muda wa kuapply ushaisha.
 
mmmmmmh?pole ndugu na gvt yetu nahisi kutoa selection ni mpaka deadline za vyuo ziishe
 
Dah yan umefanya mistake..Ila vp ukiwa2mia namba yako ya mtihan kama universty itakuwaje?
 
Wakuu nipo kwny hali mbaya mno yan ndo nakuja kujua juz mwisho wa kupeleka application form ni 20 june hlf shule walim hawapo(shule imefungwa) nimeongea na academic master kanizingua sasa cjui itakuaje.Lkn niliapply dit toka tupo shule na nimefaulu hv(phy-b+,math-b+,engl-b+) lkn ndo cna uhakika kama ntachaguliwa ndo mana nimeamua nianze kuapplyki-private ili nisipochaguliwa na serikali iwe tayar nishapeleka maombi. Sasa hamna alternative way ya kuapply bila ya r.slip maana mpaka niipate itakua muda wa kuapply ushaisha.

kama ulidownload matokeo yako yaprint halafu weka alama kwenye jina lako kisha nenda mahakamani ukaape kwamba ndio matokeo yako sahihi watayapiga muhuri utayapeleka unapotaka. nilifanya ivyo kipindi icho nataka mkopo loan board na yalikubalika sasa sijui huko, jaribu ivyo
 
huku una apply online, vp sasa
 
Zitto,
Kama hayo yanatoka rohoni kabisa, basi hapo kuna tatizo. Siamini kama ktk siasa kuna mwenye umaarufu kiasi cha kuwa huru kuzunguka majimbo kiasi hicho.

At your age, I can see the bad station where you are likely to be in the next10 years. [/QUOTe ...mlainishe tu akupe.lasivyo hatakupa...muombe kwa kumsihi..gia yako
 
kama ulidownload matokeo yako yaprint halafu weka alama kwenye jina lako kisha nenda mahakamani ukaape kwamba ndio matokeo yako sahihi watayapiga muhuri utayapeleka unapotaka. nilifanya ivyo kipindi icho nataka mkopo loan board na yalikubalika sasa sijui huko, jaribu ivyo
sasa fanya kama huyu jamaa...hili tatizo dogo sana..mi pia loan board nilifanyaga hivi
 
wakuu mkiamka mnisaidie hapa, nimepangwa advance kudadadeki nataka nifanye chapchap kuapply dit
 
Wakuu pia kuna mdogo wangu kamaliza 6 mwaka huu anataka kuapply mkopo loan board, tatizo hana vyeti vya Form4 kule ana madeni mengi na kwa sasa hana uwezo wa kuvipata, Je atumie njia ya kudownload matokeo yake thenly ayatume loan board instead ya kutuma vyeti vya form4 ambavyo hana?
 
Back
Top Bottom