Ajali yaua watano Morogoro na Kujeruhi wengine 10

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2021
Posts
577
Reaction score
2,595
Watu watano wamefariki dunia na wengine 20 kujeruhiwa katika eneo la Iyovi baada ya gari aina ya Costa iliyokuwa ikitoka Mbeya kuelekea Dar es Salaam kujaribu kulipita Lori lililokuwa limeharibika njiani na kugongana na Lori jingine lililokuwa likitokea Mikumi.


Ajali hiyo imetokea hii leo Juni 5, 2023, katika eneo la Iyovi, barabara kuu ya Morogoro-Iringa.


Chanzo: EATV
 
Dah Rest In Peace wote Mungu awepe kupona haraka majeruhi wote hizi kona za Iyovi Serikali iziangalie Kwa jicho lingine

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Kwani Yanga SC Mabingwa na Medali za Mbao za Kariakoo Shimoni wana Mechi yoyote ile tena ya Kimataifa hivi Karibuni wanayotakiwa Kuishinda kwa Udi na Uvumba?
 
Iyovyi ni pana sana, which area specifically
 
Uzembe wa dereva sijui alikuwa anawahi wapi... daah
 
Sema zile Kona ni hatari sana. Kuna siku Subaru ya kuazima ilinitia wenge kidogo niwahi kwa Sir God kwenye zile kona.
 
Mwaka 2014 nimejenga blocks na mitaro kuanzia kidoma hadi iyovi kuna mzungu mmoja alikuwa anaitwa babuu maisha haya hapo nimetoka kupata ajari ya boda boda kuanguka na mtu na akafariki [emoji25][emoji25][emoji25] nikakimbilia mikumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…