kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Bakiza akiba ya maneno mkuuHuenda wao ndio wamekamilika ila sisi tunaojiona wazima ndio walemavu,
So hunda Mungu anatembea kwa mguu mmoja, au labda hana macho,
au labda ni bubu haongei,
Binadamu wote hatufanani, so hakuna mwenye uhakika wa jinsi Mungu alivyo according to his statement tuliumbwa kwa mfano wakeBakiza akiba ya maneno mkuu
Umefika mbali sana
Ni kweli. Lkn vingine ni kumuachia mwenyewe waweza kukufuru bureBinadamu wote hatufanani, so hakuna mwenye uhakika wa jinsi Mungu alivyo according to his statement tuliumbwa kwa mfano wake
Mkuu acha watu wawe na uhuru wa kujadili mambo kwa mapana bila kuweka mipaka, mambo ya kukufuru ni hadithi zisizo na mashiko kwa ulimwengu wa sasaNi kweli. Lkn vingine ni kumuachia mwenyewe waweza kukufuru bure
Sipendi vijana waogaMkuu acha watu wawe na uhuru wa kujadili mambo kwa mapana bila kuweka mipaka, mambo ya kukufuru ni hadithi zisizo na mashiko kwa ulimwengu wa sasa
duh!Mkuu acha watu wawe na uhuru wa kujadili mambo kwa mapana bila kuweka mipaka, mambo ya kukufuru ni hadithi zisizo na mashiko kwa ulimwengu wa sasa
Binadamu wote hatufanani, so hakuna mwenye uhakika wa jinsi Mungu alivyo according to his statement tuliumbwa kwa mfano wake
Ulimwengu ulifanyika kwa Nguvu na Sheria, na kwazo Ulimwengu unaishi na kila kilichomo. Uovu na Ubaya ni Matokeo ya kutotii Sheria, wakati Upendo ni matokeo ya Kutii Sheria. Ulimwengu unaishi kwa Sheria.Unakuta mtu anazaliwa akiwa na ulemavu wa viungo,ama hana kiungo kimojawapo,ama mtu ana jinsia mbili nk.Je nani anahusika na jambo hili?Kama binadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu,je ni sehemu gani anayofanana Mungu?Hata mapungufu,yana maana kuwa shetani ana uwezo wa kuingilia uumbaji wa Mungu kama mawimbi ya redio yanavyoweza kuingiliwa?Watu wa dini wanaofunuliwa siri na Mungu,je mmewahi kufunuliwa kuhusu hili?
If God exist, then he is not a physical being...Huenda wao ndio wamekamilika ila sisi tunaojiona wazima ndio walemavu,
So hunda Mungu anatembea kwa mguu mmoja, au labda hana macho,
au labda ni bubu haongei,
Hilo neno kukufuru ni uchochezi... bila shaka watu wote wangelikuwa na mtazamo huo... basi hata hii post yako isingewezekana.Ni kweli. Lkn vingine ni kumuachia mwenyewe waweza kukufuru bure
Ndio ukweli wenyewe... tunalalamika waafrica nani katuroga lakini aliyeturoga ni huyu aliyetuletea hii ideology. Kwamba nikihoji masuala ya Kimungu basi nakufuru and hence utachomwa na moto wa milele... , je ulikuwa wapi kabla ya mimba???duh!
Aliposema tumuumbe mtu kwa mfano wetu??? Hapo kabla hajaumba, ameshaweka sifa moja ya mwanadam KUONGEAIf God exist, then he is not a physical being...