Tetesi: Ajali ziwa Victoria: Boti yapata hitilafu kisiwa cha Mrumo, watu kadhaa wasadikiwa kupoteza maisha

Mtu mdogo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2016
Posts
525
Reaction score
828
Ajali ziwa Victoria, boti iliyokuwa ikitokea kisiwa cha Mrumo Bukoba kwenda Mganza, imepata hitilafu ya injini jambo liliopelekea moto kuwaka kwenye injini na kusababisha taharuki na baadhi ya abiria kuanza kujirusha majini.

Taarifa nilizozipata mpaka sasa takriban watu 15 wanasadikiwa kufa maji. Iidadi kamili bado haijapatikana.
 
Duuh!. Pole kwa wote.

Kisiwa cha Murumo ndo kwanza naisikia leo.
 
dah MWANZA tena???... poleni kwa kweli,si kwa mfululizo huu wa vifo.
 
Wakuu muoneni huyu amekuwa wa tatu, anaacha kuposti maoni anaposti kuwa wa kwanza sasa ameangukia pua
πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› Isijekuwa ni Gambo huyo
 
Wanajirusha majini badala ya kuchota maji wazime moto!!!
 
Ngoja taarifa ikamilike..Mungu saidia isiwe to that extent!
 
Jamani Rambi Rambi, chungeni Sana wasijekusema wanataka kutengenezea Kamanga ferry.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…