Naona wanataka kuyarudia yale yaliyofanywa na kaka zao msimu wa 95 km sikosei... Ajax ile ilikuwa na vipaji vikubwa km ajax hii ya sasa, wana chemistry nzuri mnoo.. Tatizo lao umaliziaji, wana utoto mwingi kwenye finishing, nafasi 10 za wazi wanafunga 2..
Ajax ile ya mwisho ilikuwa moto ndani wamo
Edwin van de saar
Frank de boer
Ronald de boer
Edgar Davids
Nwakwo kanu
Clarence seerdorf
Marc overmars
Patrick kluivert!! N.k
Ambao wote walikuja kuwa masupastaa wakubw baadae hii inaonesha ni kiasi gani walikuwa na timu yenye vipaji vikubwa.. Kwa soka lao km angepita man city angewasumbua kwa Tottenham inawezekana wakapenya wakatinga fainali na wakaweza kuushangaza ulimwengu, vijana ni wapambanaji mnooo.. Ukiwatangulia goli moja ndio inakuwa kama umechokoza nyuki mchana.
Sent using
Jamii Forums mobile app