Ngapi ngapi?Aman iwe juu yenu wakuu
Kama kichwa cha habal kinavyosomeka hapo
Hawa jamaa watauana mpira ni mkali hatari
Tiar juve anaongoza
Mkali ronaldo kashachana na kufamania nyavu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini umesema hivyo?At least hii mechi ilikuwa na taswira ya uefa champions league
Ile nyingine matokeo yake yalikuwa yanajulikana....Kwanini umesema hivyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aman iwe juu yenu wakuu
Kama kichwa cha habal kinavyosomeka hapo
Hawa jamaa watauana mpira ni mkali hatari
Tiar juve anaongoza
Mkali ronaldo kashachana na kufamania nyavu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamjua d costaKwa ule mpira wa ajax juventus wajiangalie wanaweza kuaga mashindano.... Comeback ya madrid nikiikumbuka naona kabisa juventus wanakibalua kizito kwa ajax
Nashangaa hii game juve wameshangilia sanaa,
Sent using Jamii Forums mobile app