Ajenda za Mkutano Mkuu wa dharula wa Yanga Terehe 23.10.2016

mkutano huu utaondoka na watu na baadhi ya media kupigwa pini kufanyia covarage habari za yanga
 
Timu inakodishwa imekuwa ukumbi?em tajeni timu yeyote iliyokodishwa hapa duniani
 
Agenda inachukua paragraph nzima? Eeeh,, hawa ndo vijana wetu wasomi sijui huko vyuoni mnafundishwa nini?
 
Agenda ya 11 lazima atajwe Bwana machache subirini muone
 
Naona sala yetu mabaniani mmeisahahu,
Anyway kumbe chura churani[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…