Ajib Ibrahim Migomba anajichelewasha mwenyewe

Mlupembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2014
Posts
445
Reaction score
214
Ukiangalia kipaji alichonacho mchezaji huyu naona kabisa anachelewa. Au hana malengo ya kucheza Ulaya? Maana muda haumsubiri atakuwa kama Ngassa.

Mlio karibu naye mwamsheni.
 
Tatizo wachezaji wa bongo huwa wanaridhika haraka sana asee.

Wakipewa kagari na kajumba na sifa kibao wanavimba bichwa kubwa kama tikiti la masika. Wanasahau kabisa kuwa soka lipo mbele huko
 
Ukiangalia kipaji alichonacho mchezaji huyu naona kabisa anachelewa. Au hana malengo ya kucheza Ulaya? Maana muda haumsubiri atakuwa kama Ngassa.

Mlio karibu naye mwamsheni.

Alitakiwa aonekane na timu za maana kipindi kile Yanga ilivyokuwa inajiita ya kimataifa,hakudeliver chochote ndio maana hakuitwa na timu yoyote ile hata japo kwa majaribio,Msuva alionekana na matokeo yake wote wapenda soka tunayajua,huyu ni mchezaji wa kawaida san na ndio maana huwezi mwona anafanya yaliyo na maana kwenye mechi za maana
 
Unatokaje kwenda cheza soka la nje ukiwa yanga?

Ni hoja isiyojenga..ni hoja ya Kitanzania kweli....We have to be serious jamani...hapa siyo suala la ushabiki wa Simba na Yanga...Tuwe serious kwa hoja za msingi...
 
Nakubaliana na wewe Mkuu tatizo haliko Yanga, Simba wala Mbeya City Ila ni Tatizo la Mindset za wachezaji wetu!!!
 
Kwa ajibu nitasimama usiku kucha kumuomba atoke bongo... uwezo wake unamruhusu mbona.
 
Ukiangalia kipaji alichonacho mchezaji huyu naona kabisa anachelewa. Au hana malengo ya kucheza Ulaya? Maana muda haumsubiri atakuwa kama Ngassa.

Mlio karibu naye mwamsheni.
Kwa kipaji gani mkuu. Au kwa like goli la juzi. Ukiwa na kipaji utaonekana tu kama kina aamata
 
Wazungu wanaangalia kipaji alafu wanakujenga...Ajibu hana kipaji???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…