Maana yake alisaini kisiri huku akiwa na mkataba Yanga.Wengi walidhani kwamba Ajibu alikataa kwenda TP Mazembe ,kauli yake aliyotoa kwamba hamna maslahi Congo ilikuwa kutuliza mashabiki tu,Maneja wake akiongea leo amesema kwamba Ajibu alisaini kwa siri mkataba na Simba na offer ya Tp Mazembe ilikuja baadaye .
Kwanini asaini kwa siri mkataba na timu nyingine while alikua na mkataba na timu yake ya awali,uoni kama ajibu na baadhi ya wachezaji wa kitanzania uwezo wao wa kutambua mambo ni finyu!?Wengi walidhani kwamba Ajibu alikataa kwenda TP Mazembe ,kauli yake aliyotoa kwamba hamna maslahi Congo ilikuwa kutuliza mashabiki tu,Maneja wake akiongea leo amesema kwamba Ajibu alisaini kwa siri mkataba na Simba na offer ya Tp Mazembe ilikuja baadaye .
Maana yake alisaini kisiri huku akiwa na mkataba Yanga.
Sio kosa na ni halali kabisa, provided that mkataba wake na timu anayoimalizia upo chini ya miezi sita. Tena alikuwa muungwana kukaa kimya, maana angeweza kusaini na kuufanya public kama akina Silinde.Kwanini asaini kwa siri mkataba na timu nyingine while alikua na mkataba na timu yake ya awali,uoni
Miez 9 toka tarehe 8/3/2020 nadhan akili ndo itakukaa sawa maana kilichomo tumbon kinaleta shidaHapa ndipo utopolo watakopoonyesha UUTOPOLO wao sasa kama yeye ni ataishia hapa bongo yeye binafsi ameamua kuwa hivyo na malengo hayafanani sio kila mchezaji anataka kucheza nje wengine wanaridhika na umaarufu wa ndani ya nchi Kama Ajibu na Ngassa.
Ni bora ukae benchi Simba SC kuliko kuwa first 11 UTOPOLONI.
Njaa, mbaya sana na kushikwa masikio na mameneja uchwara .
Ajibu angesubiri mkataba wake uishe aangalie ofa zitakazokuja mezani kwake kulingana na jasho na damu alilolitoa kuudhihirishia umma kuwa anajua soka.
Kafanya kazi kubwa, akiwa Yanga kila mdau wa soka akajiridhisha kijana amepambana ndo maana wale wenye mawazo ya soka la kizamani la "KUKOMOANA"
Walipoona ili uidhoofishe Yanga msajili Ajibu ili wakose zile assist zake na faulo za hatari, ukichanganya na njaa ya meneja na mchezaji unategemea nn?
Nakumbuka maneno ya rais wa muda wa Simba "TRY AGAIN" huyu ni kiongozi shupavu, aliweka wazi wakati Yondani anasuasua kusajili Yanga, alisema "HATUUSAIDII MPIRA WETU" tukimsajili Yondani ni kuididimiza Yanga.
Angalia Yanga wamemsajili Ajibu na Simba tumemsajili Niyonzima ! Kipi kilichopatikana ? Kwa maendeleo ya mpira wetu zaidi ya KUKOMOANA na kujirudisha nyuma.
Ajibu , kama angevumilia Njaa, Mkataba wake ungeisha na kwenda Tp Mazembe ambako angeweza kukutana na changamoto mpya na watu tofauti wenye jicho halisi la kipaji cha soka, huenda angefanikiwa sana.
Kwa hapa Bongo, sioni Ajibu akichanua kiwango naona kimefika Peak akiwa Yanga, ambako alikuwa anacheza kila siku. Simba kiwango kinarudi chini kwa kukosa nafasi.
Ajibu jitafakari Omba kwenda kucheza kwa mkopo kwenye timu kama, Mtibwa, Kagera, Namungo au Azam. Pandisha kiwango SONGA MBELE.

Simba alipigwa pin, ya miaka 2 halafu kumbuka vilabu vyetu viongozi wanaweka mikataba migumu kwa mchezaji kuondoka kwenda nje.Nimesikiliza vipindi vingi vya michezo jana redioni meneja anasema wana offer nyingi zipo mezani zinamsubiri ajibu msimu ukiisha, kwani simba ana mkataba wa mda gani