Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu wana jf kuna tetesi kuwa serikali imesitisha ajila kwa walimu kisa eti wa majukumu mengi ya kitaifa,hiz taarifa ni za ukweli?Naomba munisaidie.
ajila=ajira,,,,,mwalimu wa kiswahili
Ndugu wana jf kuna tetesi kuwa serikali imesitisha ajila kwa walimu kisa eti wa majukumu mengi ya kitaifa,hiz taarifa ni za ukweli?Naomba munisaidie.
ajila=ajira,,,,,mwalimu wa kiswahili
Wamesitisha mpaka wahakiki elimu zenu kama wewe unavyosema ajila badala ya ajira nazoezi hili linakwenda mpaka mwakani ndipi litakamilika na watakaobahatika ndiyo watapata ajira
Sio ajila ni ajira we pimbi kasoro mkia.....eti huyu naye ni mwalimu!!kweli shida haichagui am sure ipo siku hii fani itakua saturated na hizi garbage zitafagiwa...tunawavumilia tu watu wa dizaini hii....D5 ualim