Ajila kwa walimu

Beka-one

Member
Joined
Mar 27, 2015
Posts
36
Reaction score
3
Ndugu wana jf kuna tetesi kuwa serikali imesitisha ajila kwa walimu kisa eti wa majukumu mengi ya kitaifa,hiz taarifa ni za ukweli?Naomba munisaidie.
 
Ndio ni za kweli serikali haina mpango wa kuajiri walimu mwaka huu
 
Acha kuwapandisha watu presha aisee, wametangaza wapi?
 
Utapata pressure bure subiri kimya kimya ayo mapost watu wanapost ovyo sehem ya serikari kusema ni kwenye magazeta na tv na radioni izo sio taarifa sahihi
 
Ndugu wana jf kuna tetesi kuwa serikali imesitisha ajila kwa walimu kisa eti wa majukumu mengi ya kitaifa,hiz taarifa ni za ukweli?Naomba munisaidie.

Ajila ndio nini ? pumbafu kabisa wewe
 
Wamesitisha mpaka wahakiki elimu zenu kama wewe unavyosema ajila badala ya ajira nazoezi hili linakwenda mpaka mwakani ndipi litakamilika na watakaobahatika ndiyo watapata ajira
 
Ni kweli... Hakutakuwa na ajila kwa walimu mwaka huu ila AJIRA zao zitakuwepo.
 
Wamesitisha mpaka wahakiki elimu zenu kama wewe unavyosema ajila badala ya ajira nazoezi hili linakwenda mpaka mwakani ndipi litakamilika na watakaobahatika ndiyo watapata ajira

we ndio boya kweli

nazoezi=na zoezi
ndipi=ndipo
 
Sio ajila ni ajira we pimbi kasoro mkia.....eti huyu naye ni mwalimu!!kweli shida haichagui am sure ipo siku hii fani itakua saturated na hizi garbage zitafagiwa...tunawavumilia tu watu wa dizaini hii....
 
Pesa inakwenda kwenye uchaguzi, waalimu wote endeleeni kusota mtaani kwa kufundisha vi-tuition mpaka uchaguzi uishe.

Kama huamini, tunza ujumbe huu mpaka mwakani then uje uniulize.
 
Mhariri ipeleke jukwaa husika hapa si mahala pake.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…