AJILA Vs AJIRA

Bontowar

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2009
Posts
520
Reaction score
53
Wakuu Mambo VP

Naomba mnidadavulie hayo maneno

Asante
 
Wakuu Mambo VP

Naomba mnidadavulie hayo maneno

Asante


Hayo ni maneno yaliyotokana na kiarabu, linalotumika sana kwa kiswahili hapa kwetu ni ajira, wengi hulitamka na kuliandika visivyo "ajila", hii haileti maana sahihi kwani ajila nalo ni neno pia, lenye maana tofauti kabisa na ajira, lakini halitumiki sana katika kiswahili cha siku hizi hususan cha bara. Wa-pwani, wenye asili ya kiswahil tena wazamani, wanaijuwa maana ya neno "ajila", kwa sasa naliwacha kulitolea maana hili neno kwa sababu za kiufundi.

Natumai maana ya ajira unaijuwa.
 
Ajira- = Kiswahili sanifu
Ajila =Kichahili cha Kiluguru
 
Bado wooote sijapata jibu Ajila ni nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…