Africa_Spring
JF-Expert Member
- Jun 16, 2012
- 426
- 111
Wadau naomba kufahaishwa kama tayari ajira za ualimu wa secondary kwa mwaka huu zimeanza kupangwa au bado. Maana najua mwaka jana watu walisubiri mpaka mwezi wa kwanza mwaka huu. Wenyefununu tupeni moyo ndugu zenu maana huku kitaa bara wakuu.
Sio kweli, utaratibu ni ule ule wa miaka ya karibuniUalimu mwaka huu ni kwa kutuma application katika Halmashauri iliyo karibu na wewe!Usaili utafanyika kama kawa!
kuwa mvumilivu, bado mapema mno nakushauri tafuta pakujishikiza kwanza.
Ajila .......... :third:
huyu ndiye mwalimu wa kesho!
kama upo Dar jaribu kwenda pale sido makao makuu utakutana na jamaa wanashule yao iliyopo morogoro (mlimba girls) ukiongea nao vizuri wanaweza kukupa offer. mara ya mwisho naongea nao walikuwa wanauhitaji wa walimu. pia jaribu kupeleka cv shule mbalimbali za private hasa za pembezoni mwa mji.Asante mdau,,ngoja basi nijitafutie japo ki-part-time flan...maana hata tuition sikuhizi vijana waote wanasoma kwa akina mama lwakatare na hawarudi mpaka summer au winter...kazi kweli kweli