Ajina moto ilipigwa marufuku?

Ajina moto ilipigwa marufuku?

Mama Nehemiah

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2018
Posts
244
Reaction score
439
Hellow wakuu,

Hivi mamlaka ya chakula na dawa Tanzania ilishawahi kukataza matumizi ya kiungo cha jikoni kinachoitwa Ajina Moto?

Mwenye uhakika tafadhali anijuze.
 
Back
Top Bottom