Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Rushwa hizo, unaambiwa hela zinamwaga kama maji ya bahariKwahiyo kaipataje sasa??
Hela zinaliwa na watu wajuu wajumbe tunaambulia 10kRushwa hizo, unaambiwa hela zinamwaga kama maji ya bahari
Saaafi kabisa, dadeeeeki weekend yake imekua njema sanaMkazi mmoja wa Bwina Chato ndugu Majumbi amaejipatia Tsh laki tatu na sabini baada ya kushona shati la kijani, suruali nyeusi na kofia ya kijani iliyoandikwa SSH 2025
Hii ndio inaitwa akili mkichwa.