Akili Pesa
JF-Expert Member
- Jun 18, 2014
- 616
- 854
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Hatimaye yale yaliyokuwa yanasemwasemwa saaaana kuwa hii serikali ni zaidi ya "magic movie" nimeamin aisee, yan viongoz hawana "Ethics ya uongozi" kwasabab hta kama watatoa usiku wa leo walipaswa kutoa angalau taarifa jmn.
Naamin wapo watu walioumizwa Sanaa kwa hili suala la Ajira, lkn hapa ndio mwanzo wa kujitambua na kuelewa kuwa nchi ina tatizo la msingi ambalo ni "UONGOZI".
Ni hayo tu wadau jmn, lazima tukubali matokeo tu....