This is TzSerikali ilitangaza nafasi 500 za wauguzi wa kike, ambao walitakiwa kuenda kufanya kazi nchini Saudi Arabia, kupitia tangazo hilo ilitangazwa kuwa kufikia tarehe 10 January watakaokuwa wamefanaikiwa kupata nafasi, watatakiwa kuonana na Waziri husika.
Je, hili hili suala limefikia wapi??
Wapo wanasubiri kufanyiwa interview na taesa hadi leo walikuepo baadhi wajifanya training na taesaSerikali ilitangaza nafasi 500 za wauguzi wa kike, ambao walitakiwa kuenda kufanya kazi nchini Saudi Arabia, kupitia tangazo hilo ilitangazwa kuwa kufikia tarehe 10 January watakaokuwa wamefanaikiwa kupata nafasi, watatakiwa kuonana na Waziri husika.
Je, hili hili suala limefikia wapi??
Watu kama nyie ni tatizo muda mwingi mnawaza negatively, wapo watu wameomba na wanajulishwa hatua kwa hatua. Wewe kaa hapo na general statements zako watu wanasonga mbele.Danadana za Tanzania Mzee akuna jipya hapo
Sasa kwani hizo Ajira ni za uchawi? mbaka kuwe na Siri si watoe public maendeleo yake watu wajue wapo hatua ganiWatu kama nyie ni tatizo muda mwingi mnawaza negatively, wapo watu wameomba na wanajulishwa hatua kwa hatua. Wewe kaa hapo na general statements zako watu wanasonga mbele.