Ajira Ajira Ajira

Ajira Ajira Ajira

Investaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2015
Posts
819
Reaction score
756
Habari!

Nahitaji vijana 10 hadi 20 ambao wanajihusisha na kazi ndani ya kariakoo, kwa lugha nyepesi bila kumumunya maneno nahitaji winga wa kariakoo nifanye nao kazi ya kufanya utafiti wa bidhaa husikia ambazo mteja anahitaji kutoka kariakoo kwa bei ya jumla.

Kila chimbo la bidhaa ambalo mteja atafanikiwa kununua bidhaa husika , winga utapata sh 5k.

Kila winga awe na sifa za pekeyake kuhusu bidhaa husika na chimbo lake, mfano jeans , viatu , boxer , vest, chupi za kike, magauni, vijora, sandals, vitambaa, vitenge n.k

Kazi ya winga:

1. Kufanya tafiti ya bidhaa kwa bei ya jumla.

2. Kuchukua namba ya simu ya muuza bidhaa pamoja na kupiga picha bidhaa husika zinazohitajika na mteja.

3. Kuambanisha bei kwa machaguo ya bidhaa husika, mfano chupi ya uturuki cotton ....

5. Utafiti wa bidhaa ufanyike ndani ya siku 1 kwa muda wa biashara wa kariakoo.

Kama utakuwa radhi kufanya hiyo kazi kila siku kuanzia j3 hadi jmos .

Njoo tufanye kazi kwa kuwasaidia wafanyabiashara kupata bidhaa husika kwa wakati kwenye maduka ya kariakoo.


Nicheki kwa namba hii 0652247221 whatsapp au piga simu anytime.


Lengo ni kurahisisha na kuunganisha wafanyabiashata na wateja.


Pamoja tunaweza.
 
Nipo tayari sina uzoefu vp Mkuu nafasi zipo,
 
Watu wa kko hawafanyi kazi hivyoo, kwanza ukiwa mtu wa kupiga piga picha wanaina unawapotezea muda.
Nakushauri anza mwenyewe kuingia kko kwa bidhaaa moja moja..kila bidhaa ukisha kuwa expert unahamia bidhaa nyingine, kule unakuwa ushakutana na winga ambaye mtakuwa na chemistry moja. Uwez kupata winga JF.
 
Ni matumaini yangu wote wazima. Mimi ni kijana wa kiume nimesoma diploma ya procurement and logistic management na bachelor degree ya business management, natafuta ajira nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote
 
Back
Top Bottom