Hivi huyu mwalimu wa Advanced Mathematics, Geography, Physics and Chemistry. anatakiwa amesoma degre gani ambayo inampa uwezo wa kufundisha masomo haya yote? utapata bora mwalimu na si mwalimu bora
mwalimu wa Bed science, anafanya iyo kazi very nice. Ila selekali inadhani walimu ni mazuzu. Wasipo ongeza kashi walimu wenye elimu zao wanakimbia kupiga vyuo fani zingine.
Nakushauri andika upya Tangazo lako tena liwe la kiprofesional maana unadeal na professional za watu!na kwa uelewa wangu hakuna mtu wa namna hiyo labda kama ni hao walimu wajanja wajanja au huenda na hiyo shule nayo ikawa ni ya kijanja janja pia! Lakini kiukweli hakuna professional Teacher mwenye uwezo huo unaotaka wewe! Samahani lakini!:A S angry: