Anahitajika kijana (miaka 22-26) daktari wa mifugo mwenye cheti au diploma kutoka chuo kitachotambulika na serikali kwa ajili ya kusimamia Shamba la mifugo kama Bata, mbuzi, ngo'mbe na ngamia. Shamba lipo mkuranga, kata ya Bupu. Atakayebahatika kupata nafasi anatalazimika kukaa Shambani. Shamba letu litampa nafasi kipekee kwa kutumia ujuzi wake kwa vitendo. Mwisho wa kuomba ni 30.01.2025. Tuwasiliane inbox.