Ajira au Partnership

Ajira au Partnership

Abdul Ghafur

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2017
Posts
610
Reaction score
749
Tupo katika initial stages za kuanzisha kampuni mpya itayojulikana kwa jina la Abrar Bricks Ltd.

Location ni Mkoa wa Pwani, Misugusugu, Kibaha. Tanzania.

Tupo katika kutafuta ama ataependa kuajiriwa au kuwa partner mwanzilishikwenye kampuni kampuni ambayo ipi mbioni kuanzishwa. Tunahitaji mwenye uwezo wa kufanya haya kwa uchache:

Construction Engineer - Civil

1. Plan and schedule the work and efficiently organize the site/facilities in order to meet an agreed program of deadlines. 2. To attend regular meetings with clients, architects and consultants and keeping them informed of progress. 3. Supervise and monitor the site labour force through General Foreman and or Supervisors, monitoring the work of any subcontractors to complete the work as per customer's satisfaction. 4. Oversee quality control and safety matters on the site, and ensure that regulations are followed...

For more information contact:

Abdul Ghafur 0625249605
 
Back
Top Bottom