DidYouKnow
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 1,229
- 1,950
Mkuu unadhani ukitumia maneno yasiyo na staha ndio itakufanya uelewe kilichoandikwa hapo? Au unadhani itakufanya uonekane uko sahihi? Ni uzuzu tu kuwalisha watu matango pori. Kama hujui kiingereza acha kurusha taarifa za kiingereza.Bibie umepaniki
KATIBA mpyaa ..tuondowe mazuzu huko....mmoleyahombokelaππππAisee EAC Secretariat japo Ipo Arusha (TZ) lakini Watanzania tumeishia kubakia nafasi za chini (udereva, wafagizi, receptionist). Sasa Wabunge toka Uganda nao wamestukia chezo la wakenya kujazana humo.
Wabunge toka TZ wametulia Kama hakuna kinachoendelea, huku wakilamba posho zao bila bugudha
View attachment 1984690
Shida wawakilishi kwenye hilo bunge....Unaelewa lugha lakini? Kwani hapo shida ni kwa TZ vs Kenya au TZ and Kenya vs Uganda, Burundi and South Sudan? Rwanda yupo neutral. Hujasoma mwandishi kasema while the big economies Kenya and Tanzania are on the other side? Hujaona watanzania wangapi wameitwa kwenye interview vs Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na South Sudan?
Watu wengi kila wakati mwataka kuisema vibaya nchi yenu, ndio maana hatuendelei hivihivi.
Siwaamini wawakilishi kabisa. Ila jamaa aache story zisizo na ukweli. Anatufanya tuonekane malofa katika kila kitu.Shida wawakilishi kwenye hilo bunge....
Mkuu wanatakiwa wapikwe msasa ikibidi madodoki niko KASUMBALESA Mtanzania nakula matunda ya Sadec ikibidi mpaka Lake Chad wasamehe...Siwaamini wawakilishi kabisa. Ila jamaa aache story zisizo na ukweli. Anatufanya tuonekane malofa katika kila kitu.
Hongera. SADC wastaarabu na matured tofauti na KQMkuu wanatakiwa wapikwe msasa ikibidi madodoki niko KASUMBALESA Mtazania nakula matunda ya Sadec ikibidi mpaka Lake Chad wasamehe...
Wao kazi yao ni kusema ndiyooo....hawajuwi unapo kuwa kwenye hilo Bunge ni sawa kama uko European unionSiwaamini wawakilishi kabisa. Ila jamaa aache story zisizo na ukweli. Anatufanya tuonekane malofa katika kila kitu.
πππππ kama unapiga hii kitu chukuwa 7πΊπΊπΊπΊ ntakuja kulipaHongera. SADC wastaarabu na matured tofauti na KQ
Mi mtu wa juice tu Sheikh. Hata kitimoto nakula kwa kujificha sanaπππππ kama unapiga hii kitu chukuwa 7πΊπΊπΊπΊ ntakuja kulipa
Poa Mkuu ila umewapa UKWELIMi mtu wa juice tu Sheikh. Hata kitimoto nakula kwa kujificha sana
Unataka niwe 'mtabiri'?Chunga Sana "O" position yako
Wewe unataka jina la kazi gani?Mtanzania anaitwa Nani? Lete jina tu, comments tuachie sisi