Me ata wasiponiamini so tatizo wao ndo wanatakiwa waaminike kwakua wanafanya kazi kwa niaba yetuAta yenyewe haikuamini
Mimi awafanyi kazi kwa niaba yanguMe ata wasiponiamini so tatizo wao ndo wanatakiwa waaminike kwakua wanafanya kazi kwa niaba yetu
Wana moto wao special kabisa siku ya kiama hao watu...na ukute hizo ajira walizoahidi saiz zinagawanwa Kwa watu wao na Koo zao Hadi ziishe wakihakikisha Kila ndugu Yao kapata ndo wanatangaza kama ushahidi 🤣Tunatafuta kazi Hadi tunachoka 😥😥 sijuh wengine wanapataje
Ni kweli ila ahadi za uongo zinatufanya tukose imani na taarifa zinazotolewa na serikaliBora usiziwaze hizo ajira kuliko ukaanza kuziwazia kabla za hazijatoka alafu zikitoka unakosa maumivu yake Huwa ni makubwa mno.
Mnyonge auna Cha kuwafanyaSerikali yetu tukufu sijuwi huwa inatuchukuliaje tu. Yaani
Pole sana kama bado unawaamini wanasiasa wa AfrikaToka mwaka jana Serikali iliahidi kutoa ajira kadhaa kwenye sekta ya afya na elimu, kati ya mwezi wa kwanza au wa pili na haijawa, katika bunge la bajeti waziri akaahidi kabla ya June 31 ajira zitakuwa zimetolewa ila hadi leo mwaka mwingine wa fedha umeanza bado kimya.
Je, kama hawakuwa na mpango kwanini watoe ahadi za uongo? Hawaoni wanaharibu akili za wahanga wa ajira, ambao tuna karibia miaka kumi mitaani?