Smart22
New Member
- Apr 19, 2022
- 1
- 0
Kwenye jamii yetu vijana wengi wanapohitimu chuo kikuu, wanakuwa wanamawazo mengi sana kichwani kwao. Moja ya wazo ambalo wanalifikilia sana wanapomaliza ni "Ajira", hili jambo limewakosesha watu usingizi na badala take wanakesha wakitafuta kazi!!
Binafsi Ajira haiwezi kuninyima usingizi au kunidhoofisha au kunisononesha, sababu kitu chochote kinachopita mbele yangu kwangu ni fulsa na kinachopita kwa akili yangu ni ajira tosha tena sana.
Nilipomaliza elimu ya chuo kikuu nilifikili kitugani nawea Fanya kikapokelewa kwenye jamii vizuri na kuwa ajira kwangu, nilifikili sana tena sana ila nikakosa hiko kitu lakini unaambiwa " mtafutaji hachoki na akichoka ujue kapata" methali hii ilinifanya nisimame tena kidedea nakuanza kufikilia tena.
Nakumbuka ilikuwa hasubuhi na kulikuwa na mvua nyepesi ambayo ilileta ubaridi kwa mwili wangu. Mtaa wangu ulikuwa kimya sababu ya mvua hiyo,
Nilikuwa nakunywa uji na ghafla!! likanijia wazo la uji, Mwanzo nilisema "kitu chochote kinachopita mbele yangu ni fulsa na mawazo yangu ni ajira" basis nilifikili ndani yangu kwamba ninahitaji kujaribu biashara ya uji.
Kwakua nimesoma na nimsomi sikuumiza kichwa kuwa nitaanzaje biashara ya uji, niliinuka nikafanya uchunguzi (research) mtaani kwetu ni "nani na nani wanauza uji" "wanatia nini?" "Walengwa ni wakinani" sikutulia nilifanya uchunguzi mpaka nilipojiridhisha.
Nilipomaliza nilipata wepesi kutafuta mtaji, nilitafuta 50,000 haraka ili kuanza biashara yangu, nilienda karume nikanunua chupa mbili za uji kubwa, moja ni kwa ajili ya uji was ulezi na nyingine uji wa mchele. Nilinunua mahitaji yangu na kuweka ndani.
Siku iliyofuata niliamka mapema nikapika uji wangu na kutia kwenyechupa na kuanza mwendo, nitembea kila nyumba nikiimba " uji! Uji! Ujiiiiiii!" Wa motomoto" unapita jamani uji!! Mwanzo mgumu lakini sikuchoka watu waliokunywa uji wangu walikuwa wakiusifia sana! Nilikuwa msafi hivyo uji ulizidi kuwa mzuri.
Nilianza kupata faida 5000 kwa siku, niliongeza hasira na kujikuta napanda mpaka 30000 kwa Siku nilienda juu na nilibeba umaarufu wa kaka uji!! Niliendelea na biashara mpaka nikawa napata 65000 kwa siku, nikaona ni bora nifungue kaka uji! Cafe na nikaajiri na wadada watatu.
Nikawa sitembezi uji wala kujishughulisha na mauzo nikawa Boss mpaka sasa ni Boss. Wadada ni wachapa kazi sana nilikuwa naingiza 120,000 kwa siku na wiki nikawa naingiza 700,000 na kuendelea tulikuwa tunscheza hapo.
Kijana kama Mimi ambaye hata kuoa bado sijaoa na nashika mamilioni ya pesa ndani ya mda mfupi wewe unashindwa nini?
Si lazima ukauza uji ila ukauza mboga maharage n.k lakini ajira isikukoseshe usingizi hata iweje unaweza Fanya kitu na ukawaajili watu wengine kama Mimi kaka uji.

Upvote
1