AJIRA HIZI HAPA KWA VIJANA WA KIKE

wanawake live

Member
Joined
Apr 18, 2013
Posts
10
Reaction score
26
JOYCE KIRIA kupitia HAWA FOUNDATION anapenda kuwatangazia kuwa kutakuwa na mafunzo ya ujasiriamali ambayo yana lenga kumkutanisha Na ajira kijana wa kike ambaye amekaa tu nyumbani bila kuwa na kazi.

mafunzo hayo ni ya wiki tatu, ambayo yatajumuisha uhudumu wa maduka, supermarket, uhudumu wa hotelini, Bar na Customer CARE Kwa ujumla.

vijana wa kike wote ambao mnatafuta ajira bila mafanikio, mnakaribishwa sana kwenye darasa hili ambalo litakukutanisha moja kwa moja na ajira.

kwa mawasiliano unaweza kupiga simu kwa program maneger 0714079479 au 0783137777.
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…