Ngoja nikuambie kitu kimoja mkuu wangu, kama ni kupigwa changa la macho, basi waliopigwa ni wazungu zaidi kuliko hao Waafrika unaowasema. Kiukweli, ni kwamba hadi sasa bado hawajalipa hata senti moja ingawaje they keep on preaching the same thing, kwamba watalipa! members, especially from outside Africa, bado wanaamini watalipwa tu!!! u know what, getting referrals here(at JF) is almost free.....lakini still kuna wazzub members hadi leo wanalipa ku-promote links zao; na most, if not all of these are from outside Africa! Myself, ni wazzub member....nimepunguza sana concentration yangu kule wazzub simply because nimekutana na site ambayo ninai-trust. Hata hivyo, as far as sijalipa any coin(apart frm my time) bado sijutii kabisa kuwemo wazzub.....hata nisipolipwa, the site ina mambo mengi sana. Wazzub ya sasa, sio ile ya zamani ambayo hata kuvutia ilikuwa haivutii! Ya sasa kuna mambo mengi sana ambayo ni very interesting...kuna online games za kumwaga, videos, music, electronic books and so much more! Haya yote, huwezi kuyapata hadi uwe member. Ukitaka ku-prove, hebu tembelea hapa: http://www.myperfectinternet.com/?refid=2d9c0 kisha linganisha wazzub ya sasa na ile ya zamani.