Lakuchumpa
Member
- Mar 28, 2012
- 73
- 13
Good news kwa wale wote mlokua na shahuku ya kwenda monduli. Nafasi za professional wa kujiunga na jwtz ni mwezi wa tisa. Get ready kuchapa mwendo. Hii ni kutokana na chanzo changu cha habar sababu na mi ni mmoja wa wahanga
Poor reporting or else hopeless style of giving information: Always be focused with intention to give fruitful information and not to make derogatory as you have done......can you tell us (readers) your private source upon the truth of your post.."? Huna uhakika na unachosema na zaidi ni kuwapa hope wenzio ambao wanahitaji kujiunga na jeshi. Taratibu za jeshi haziko rahisi kama unavyojaribu kusema hapa; hivi unajua kuwa sio lazima kila mwaka kuwe na professional recruitment??? Kama ni wanajeshi wameshapata kutoka level za O' level na Advanced...na walifanya recruit ya ndani kwa wasomi wa huko jeshini; na ikitokea wakahitaji basi itakuwa kiasi kidogo cha wataalam...lakini sio kusema exactly mwezi wa tisa, huo ni uwongo na ushauri ni kwamba ni bora kuendelea kufanya bidii ya kufanya kazi au kutafuta nafasi zingine na ikitokea jeshini wanatangaza nafasi za wasomi unaweza kuacha huko uliko na kuomba jeshini....but be careful ktk kuacha kazi yako.Good news kwa wale wote mlokua na shahuku ya kwenda monduli. Nafasi za professional wa kujiunga na jwtz ni mwezi wa tisa. Get ready kuchapa mwendo. Hii ni kutokana na chanzo changu cha habar sababu na mi ni mmoja wa wahanga
foget abt this.
fafanua....
Good news kwa wale wote mlokua na shahuku ya kwenda monduli. Nafasi za professional wa kujiunga na jwtz ni mwezi wa tisa. Get ready kuchapa mwendo. Hii ni kutokana na chanzo changu cha habar sababu na mi ni mmoja wa wahanga
Afadhali aisee kama wametanganza basi nitaenda kutayarisha application yangu kwa sababu mimi ninaitaka sana ile nafasi ya Shimbo; nitaomba moja kwa moja kuwa mimi ninataka kuwa Chief of Staff wa JWTZ.[/QUOTE
wewe umeckia wapi wametangaza mkuu?