asante mkuu.
wakuu ninatumaini wote mko cool!
Wakuu ninataka kuchukua certificate in clinical assistant! Je vipi kuhusu ajira ?
Natanguliza shukrani wakuu naombeni msaada wenu jamani ictoshe mi ndio mtoo wa kwanza home na sina msaada mwingine wa kimawazo ni humu humu jf .