IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,503
- 2,426
Hallow hallow Mambo vipi wadau wa JF hope mko poa ok baada ya kushusha thread hii👇👇
www.google.co.tz
Kuna mdau alinifata PM na kunipa muongozo wa kupata ajira za viwandani.
Hii ni baada ya kuona Nina kiu ya kupambana kutokana na kupoteza muda mrefu kule Mozambique na mwisho kuambulia patupu na jamaa yangu kutonipa chochote.
Sasa uyu ndugu wa JF amenipa connection hapo mkuranga pwani kijiji cha mkiu niwe na mkwanja kidogo wa kuhonga then nachoma ulingoni kuhusu humo ndani afahamu zaidi ya ilo la kujiunga tu kwa kuhonga.
Kiwanda ni cha Tiles kampuni ya wachina kama ivyo.
Je, kuna mwenye ABC ufanyaji wao wa kazi, care Yao Kwa wafanya kazi, malipo, na Aina ya kazi za humo ndani?
Please wakuu utani tuweke pembeni tuwe series kama unafahamu shusha nondo pia itwasaidia wengine.
ASANTENI🙏
Moja ya kumbukumbu mbaya machimboni nchini Msumbiji. Lakini maisha lazima yaendelee
Mwaka 2021 nikiwa hapa home tz nilikua na pesa flani ambayo nilipanga niagize bidhaa Ali express nianze kuuza maana Nina uzoefu na kuagiza mizigo huko kutoka China through Ali express bahati mbaya ikaingia Corona ikavuruga mipango yote. Nilishawai leta thread ya kutaka ushauri wa kununua bidhaa...