Ajira kwa kidato cha 4 na 6

Malengo Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
287
Reaction score
99
Jeshi la polisi nchini limetoa orodha ya vijana wa kidato cha 4 wa mwaka 2012 na wale wa kidato cha 6 wa mwaka 2013 walioitwa kwenye usaili wa kujiunga na jeshi hilo. Vijana hao ni miongoni mwa wale waliojaza selform kabla ya kuhitimu masomo yao. Kuangalia kama na wewe ni miongoni mwa walioitwa kwenye usaili, tafadhali tembelea website ya jeshi hilo ambayo ni; www.policeforce.go.tz
 

Ingekuwa JWTZ ningeacha chuo niende nkapge mzgo coz nataman saana kuvaa majan
 

mbona hiyo website yao haifunguki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…