Ajira kwa walimu ambao majina yao hayakutoka mapema

Babylon tower

Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
60
Reaction score
11
vipi wadau hakuna mwenye update kuhusu walimu ambao walihitimu mwaka jana na hawajapangiwa vituo vya kazi kwamba ni lini watapangiwa!?
 
tusubiri maana walikuwa wanadai kuwa watarelease by 10th of april,but i'm not sure
 
Dah poleni jamani endeleeni kuvuta subira !!
 
Mungu ni mwema,majina yetu ya sjut-dom kama 3018,tumepangiwa vituo.asanteni tamisemi.
 
ivi na sisi wa vyuo vingine tuliokosa ajira inakuaje ivi awa tamisemi walijuwa st.john tu ndo wamekosa ajira or kesho nawafuata oficin kwao
 
ivi na sisi wa vyuo vingine tuliokosa ajira inakuaje ivi awa tamisemi walijuwa st.john tu ndo wamekosa ajira or kesho nawafuata oficin kwao
Kifo cha wengi harusi, Hongereni St. John Dodoma, nendeni mkachukue posho ya siku 3 huko Maporini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…