Ajira kwa walimu kabla ya uchaguzi?

John sky

Member
Joined
Jun 2, 2014
Posts
34
Reaction score
1
Mwenye kujua kuhusu ajira mpya za walimu kwa waliomalza mwaka huu ngazi ya stashahada na Astashahada atujuze kama lini zitatoka! Maana kuna tetesi kua huwenda zikatoka mwezi wa kumi.

Mwenye ukweli wa hili tafadhali tujuze!
 
Nikweli kuwa walimu wa diploma waliomaliza chuo mwaka huu na wadegree watakaomaliza mwaka huu kuajiriwa kabla ya uchaguzi? Msaada wenu tafadhari wana JamiiForums.
 
Umepata Hizi Taarifa Wapi.Utaratibu Wa Ajira Ni Mwakani February
 
we fanya mambo mengind tu! hatuna sababu ya kubadili mfumo bila sababu
 
mnazingua bana sasa,mnaanzisha thread mia mia kwa kitu hicho hicho,katafute tempo huko umeckia wapi mkiajiriwa mwezi wa 10?hio mwakani ni probability kama umesoma ngwini jipange
 
mnazingua bana sasa,mnaanzisha thread mia mia kwa kitu hicho hicho,katafute tempo huko umeckia wapi mkiajiriwa mwezi wa 10?hio mwakani ni probability kama umesoma ngwini jipange

hivi ww umeona thread inahitaji ushauri? hilo ni swali kama huwez unakaa kando na sikila anae weka ni mwalimu no tunawasaidia tu walimu kama ww hivyo wanao sumbua mitaani.
 
ajira kuanzia mwaka kesho mwez wa pili
tena serikali kuajir walimu wa sayansi tu
 
Mchakato wa Ajira za walimu ni kuanzia february mosi 2016 ambapo wizara ya elimu kupitia tamisemi itaomba vibali vya kuajiri utumishi. Pia kuanzia mwakani ajira za walimu zitatolewa kwa makundi kwa wale wenye masomo ya sanaa(arts) ngazi ya shahada na stashahada. Kwa wale wa astashahada(cheti) wataajiriwa wote.
 
mkiajiliwa mwezi wa kumi supu mtakunywa lini uku adi uwe na cheti ndo unapata salary kunywen sup kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…