KAMBUNDA
Member
- Jan 2, 2013
- 79
- 8
napenda kufahamu ajira za walimu zinatoka lini??? Halafu serikali inasema kuwa elimu ya tanzania ipo nyuma,, sasa je uanafikiri wanafunzi watapataje elimu bila ya kuwa na walimu?? Mnaweza kusema et serikali haina pesa.... Hakuna serikali danganyifu kama ya tanzania!!