Ajira kwa walimu

Ajira kwa walimu

nyaka boy

Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
16
Reaction score
0
kunatetesi kuwa raisi kikwete ataondoka madarakani kapunguza tatizo la walimu, je ataajili walimu wengine tena mwaka huu ,mchango wenu wadau.
 
Selikali haina mpango wa kuajiri walimu kwa mwaka huu au mwaka kesho hasa masomo ya sanaa(arts)
 
Miaka Walimu Wanaajiriwa Mana Watu Wanastafu,wanakufa,mashule Yanafunguliwa,
 
Miaka Yote Walimu Wanaajiriwa Mana Watu Wanastafu,wanakufa,mashule Yanafunguliwa,
 
Selikali haina mpango wa kuajiri walimu kwa mwaka huu au mwaka kesho hasa masomo ya sanaa(arts)

mshaanza maneno yenu hata mwaka huu mliongea hayohayo lakin umeona ajira za mwaka huu kuwa arts walioajiriwa ni zaidi ya 80% ya ajira ya walimu?
 
Back
Top Bottom