N nyaka boy Member Joined Jun 30, 2013 Posts 16 Reaction score 0 Jul 2, 2015 #1 kunatetesi kuwa raisi kikwete ataondoka madarakani kapunguza tatizo la walimu, je ataajili walimu wengine tena mwaka huu ,mchango wenu wadau.
kunatetesi kuwa raisi kikwete ataondoka madarakani kapunguza tatizo la walimu, je ataajili walimu wengine tena mwaka huu ,mchango wenu wadau.
okonkwo jr JF-Expert Member Joined Jun 14, 2015 Posts 2,419 Reaction score 1,738 Jul 2, 2015 #2 Selikali haina mpango wa kuajiri walimu kwa mwaka huu au mwaka kesho hasa masomo ya sanaa(arts)
BUMIJA JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 5,950 Reaction score 11,295 Jul 3, 2015 #3 Miaka Walimu Wanaajiriwa Mana Watu Wanastafu,wanakufa,mashule Yanafunguliwa,
BUMIJA JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 5,950 Reaction score 11,295 Jul 3, 2015 #4 Miaka Yote Walimu Wanaajiriwa Mana Watu Wanastafu,wanakufa,mashule Yanafunguliwa,
Madege JF-Expert Member Joined Dec 8, 2011 Posts 530 Reaction score 109 Jul 3, 2015 #5 okonkwo jr said: Selikali haina mpango wa kuajiri walimu kwa mwaka huu au mwaka kesho hasa masomo ya sanaa(arts) Click to expand... mshaanza maneno yenu hata mwaka huu mliongea hayohayo lakin umeona ajira za mwaka huu kuwa arts walioajiriwa ni zaidi ya 80% ya ajira ya walimu?
okonkwo jr said: Selikali haina mpango wa kuajiri walimu kwa mwaka huu au mwaka kesho hasa masomo ya sanaa(arts) Click to expand... mshaanza maneno yenu hata mwaka huu mliongea hayohayo lakin umeona ajira za mwaka huu kuwa arts walioajiriwa ni zaidi ya 80% ya ajira ya walimu?
A apana kusupa JF-Expert Member Joined Apr 24, 2015 Posts 210 Reaction score 30 Jul 3, 2015 #6 Ajira zipo tu!